Exodus 15:10

10 aLakini ulipuliza kwa pumzi yako,
bahari ikawafunika.
Wakazama kama risasi
kwenye maji makuu.
Copyright information for SwhNEN